Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Beki Vedastus Masinde atua rasmi mitaa ya Msimbazi.

Chikao
Beki Vedastus Masinde atua rasmi mitaa ya Msimbazi.

Beki wa kati Vedastus Masinde amejiunga rasmi na klabu ya Simba kuwa mchezaji wao mpya akitokea klabu ya TMA ya Championship kwa mkataba wa miaka 2.

Masinde ambaye ni mchezaji wa mwisho kutambulishwa na Simba kuelekea msimu ujao ana umri wa miaka 19 na aliwahi kuichezea Biashara United kabla ya TMA.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13