Home KIMATAIFA ALEXANDER ISAK NI SUALA LA MUDA KUTAMBULISHWA LIVERPOOL

ALEXANDER ISAK NI SUALA LA MUDA KUTAMBULISHWA LIVERPOOL

124
0
Alexander Isak

JIUNGE KWENYE WHATSAPP CHANNEL YA SIMULIZI ZA SAUTI ZA WAKUBWA TU BONYEZA HAPA KUJIUNGA

Klabu ya Liverpool imekmilisha mazungumzo na klabu ya Newcastle United ili kuinasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak ukitarajia kuwa usajili utakaoweka historia kwenye Ligi kuu ya Uingereza.

Isak mwenye umri wa miaka 25 siku ya leo atakamilisha taratibu za kuhamia Anfield ikiwa ni pamoja na kufanyiwa vipimo vya afya tayari kwa utambulisho ndani ya kikosi cha Arne Slot.

Taarifa zinasema nyota huyo raia wa Sweden amesaini mkataba wa miaka 6 kuitumikia Liverpool hadi mwaka 2031.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here