Mshambuliaji wa Liverpool Alexander Isak anatarajiwa kukaa nje kwa angalau miezi miwili baada ya kuvunjika mguu na kufanyiwa upasuaji, meneja wa klabu hiyo ya Ligi Kuu nchini Uingereza, Arne Slot, alisema Jumanne. Isak alipata jeraha hilo alipoifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dh
Tangu achukue mikoba ya kuinoa Liverpool, kocha Arne Slot sasa amefikiwa na rekodi ya kusononesha sana ya kupoteza mechi 4 mfululizo kwenye ligi kuu Uingereza. Mechi hizo ni dhidi ya; ❌ 2-1 vs Crystal Palace ❌ 2-1 vs Chelsea ❌ 1-2 vs Manchester United ❌ 3-2 vs Brentford Kutoka kuwa timu inayotetea U
Pep Guardiola amepinga madai ya kocha wa Liverpool Arne Slot kwamba mchezaji wake mpya Alexander Isak ya kwamba ndiye mshambuliaji bora zaidi duniani, huku akisema anamuweka mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland juu kidogo ya Isak. Guardiola aliongea hayo jana Ijumaa alipokuwa akijibu maswa
Klabu ya Liverpool imekmilisha mazungumzo na klabu ya Newcastle United ili kuinasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak ukitarajia kuwa usajili utakaoweka historia kwenye Ligi kuu ya Uingereza. Isak mwenye umri wa miaka 25 siku ya leo atakamilisha taratibu za kuhamia Anfield ikiwa ni pamoja na kufan
Wayne Rooney ameonya kuwa Liverpool wanapaswa kuwa makini kabla ya kukamilisha usajili wa Alexander Isak, huku mshambuliaji huyo wa Sweden akikataa kuchezea Newcastle United. Isak, mwenye umri wa miaka 25, amedhamiria kuondoka Newcastle katika dirisha hili la usajili baada ya kufunga mabao 23 kwenye