Home KITAIFA SINGIDA BLACK STARS YALIPIGA CHINI TAMASHA LAO LA ‘SINGIDA BIG DAY’

SINGIDA BLACK STARS YALIPIGA CHINI TAMASHA LAO LA ‘SINGIDA BIG DAY’

495
0

Klabu ya Singida BS imetangaza rasmi kupitia kurasa zao za mitandaoni ya kijamii kwamba hakutakuwa na tamasha la Singida Big Day msimu huu kutokana na ufinyu wa ratiba.

“Kutokana na ufinyu wa ratiba,tumelazimika kusitisha tamasha la SINGIDA BIG DAY 2025 ambalo lilikua lifanyike uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta” Wameandika Singida Black Stars.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here