Ruka hadi maudhui
SOKALEO

“KOCHA ANAHITAJI MUDA, MPIRA SIO KAMA KUPIKA CHAI” – MZEE WA JAMBIA

Chikao
“KOCHA ANAHITAJI MUDA, MPIRA SIO KAMA KUPIKA CHAI” – MZEE WA JAMBIA

Kubwa La Maadui,ROMAN FOLZ

Yes nikweli mbinu zake sasa hivi ni Kupiga Mbele and InshaAllah. Lakini Kocha Kumuona hafai Kabisa baada tu ya Mechi Mbili za Ligi nafikri ni Mapema sana..✍️

Kila Kocha anahitaji Muda . Mpira wa Miguu sio Kama Kupika Chai.Just give Roman Folz time ili Mwisho tuhukumu Kwa haki.

Thought??

Ameandika @mzeewajambia

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13