Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » “MUDA WOWOTE CEO WA SIMBA ATAJIUZULU, AMECHOKA KUENDESHWA” – ALLY KAMWE
    KITAIFA

    “MUDA WOWOTE CEO WA SIMBA ATAJIUZULU, AMECHOKA KUENDESHWA” – ALLY KAMWE

    ChikaoBy ChikaoOctober 4, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amefunguka muda mfupi baada ya aliyekuwa Skauti Mkuu wa Simba kutangaza kujiuzulu nafasi yake.

    Ally Kamwe ameandika ujumbe unaohusishwa kuwa unawalenga watani zao Simba akisisitiza kuwa taarifa alizozipata kupata kwa jasusi wao ni kuwa muda wowote taarifa ya CEO kujiuzulu itatoka.

    “Jasusi wetu Hana Bayaaa.. Jana alisema Kuna Kikao na Leo watu wameanza kujiuzulu mmoja mmoja”

    “Muda wowote Taarifa ya CEO kujiuzulu itatoka .. Wanajaribu kumshauri asiondoke Lakini mpaka asubuhi ya Leo, Bi Dada kashikilia msimamo wake”

    “Hoja ya Dada ni kupelekwa pelekwa kama Ng’ombe bila kushirikishwa.. Viongozi wa Juu wanafanya maamuzi ya Hovyo na ya aibu kwa Klabu, halafu Yeye anapewa lawama. HATAKI TENA” Ameandika Ally Kamwe.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSINTOFAHAMU YAIBUKA KWA KOCHA MPYA WA SIMBA
    Next Article Majina ya Usaili kusimamia uchaguzi 2025 – Tume ya uchaguzi

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.