HomeMaswali ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025

Maswali ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025

Maswali mbalimbali ya usaili yanayoweza kuulizwa kwa waombaji wa nafasi ya kusimamia uchaguzi mkuu, Maswali haya ni kwa Makarani, wasimamizi wasaidizi na wasimamizi wakuu wa vituo.

Maswali ya usaili kusimamia uchaguzi

  1. Elezea kwa kifupi lengo la uchaguzi mkuu utakaofanyika 29 october 2025
  2. Uchaguzi utakaofanyika 29 october 2025 ni uchaguzi wa ngapi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa?
  3. Ni hatua gani utachukua kuhakikisha wapiga kura wanapata haki sawa na kupiga kura bila upendeleo?
  4. Elezea wajibu wa wafuatao katika kituo cha kupiga kura.
    • Msimamizi wa kituo
    • Msimamizi Msaidizi wa kituo
    • Karani
    • Askari
RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE