Ruka hadi maudhui
SOKALEO

DEMBELE AWASHINDA WAKINA LAMINE, NA SALAH BAADA YA KIBEBA BALLON D’OR 2025

Chikao
DEMBELE AWASHINDA WAKINA LAMINE, NA SALAH BAADA YA KIBEBA BALLON D’OR 2025

Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya 2025, akiwashinda wachezaji maarufu kama Lamine Yamal wa Barcelona na Mohamed Salah wa Liverpool.

Katika msimu wa 2024/25, Dembélé alifunga mabao 37 na kutoa pasi za mwisho 15, akisaidia PSG kutwaa mataji manne muhimu: Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1), Kombe la Ufaransa, UEFA Champions League, na UEFA Super Cup

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland