Author: Chikao

Klabu ya Yanga  imemtambulisha rasmi mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kama mchezaji mpya wa kikosi hicho kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja kutoka Sekhukhune United…

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Queens, Precious Christopher amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga Princess wenye kipengele cha kuongeza kama atafanya vizuri. Msimu uliopita Precious…

Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Morice Abraham amejiunga rasmi na wekundu wa msimbazi kama mchezaji wao kuelekea msimu ujao wa mashindano akitokea Spartak Subotica ya…

NI majeraha ambayo yalifanya asionyeshe ubora wake akiwa katika uwanja msimu wa 2024/25 na alipata maumivu makubwa kwenye mchezo dhidi ya TaboraUnited alipokomba dakika 10 pekee,…