Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ameripotiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Le Havre AC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ufaransa (Ligue…
Author: Chikao
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amezungumza kuhusu taarifa zilizoibuka asubuhi ya leo kuhusu mshambuliaji wao raia wa DR Congo Ellie Mpanzu…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo ya Aug 05, 2025
SIMBA SC chini ya Kocha Mkuu Fadlu Davids wanaendelea na matizi ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26. Katika kambi iliyopo Misri wachezaji wapya na…
Je safari hii nani anaweza kuongoza ligi, ambapo wakali wa ubashiri wameweka ODDS kubwa sana. Nani atapokea kijiti cha Liverpool ambao msimu uliopita ndio waliongoza ligi…
YANGA SC mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2025/26 hawapoi kutokana na kasi yao kwenye utambulisho wa wachezaji wapya. Ikumbukwe kwamba msimu wa…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo ya Aug 04, 2025
Michezo ya Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali inatarajiwa kuchezwa September 11 huku mchezo wa fainali ukitarajiwa kuchezwa September 14 kabla ya kufunguliwa rasmi kwa…
Kuelekea msimu wa 2025/26, Uongozi wa Young Africans leo asubuhi umekutana na Benchi la ufundi, wachezaji na watendaji wa Klabu kwa ajili ya utambulisho na semina…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhi Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kitita cha shilingi milioni 20…