Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SIMBA SC WAANZA NI MWENDO WA MATIZI, KIBU, CAMARA NDANI
    KITAIFA

    SIMBA SC WAANZA NI MWENDO WA MATIZI, KIBU, CAMARA NDANI

    ChikaoBy ChikaoAugust 5, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    SIMBA SC chini ya Kocha Mkuu Fadlu Davids wanaendelea na matizi ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26.

    Katika kambi iliyopo Misri wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi cha Simba SC iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wapo kambini.

    Miongoni mwa wachezaji waliopo ndani ya kikosi cha Simba SC ni Kibu Dennis ambaye huyu alikuwa nchini Marekani wakati wa likizo huku Moussa Camara ambaye ni kipa namba moja naye akiwa yupo kwenye orodha ya wachezaji waliopo katika kikosi.

    Camara ni kipa namba moja kwa kukusanya hati safi msimu wa 2024/25 alipokusanya jumla ya hati safi 19 ndani ya ligi ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora.

    Mbali na Kibu Dennis yupo Mzamiru Yassin kiungo wa kazi ngumu ambaye msimu wa 2024/25 hakuwa fiti kwa asilimia 100 kwenye mechi za ushindani.

    Leonel Ateba na Steven Mukwala ambao ni washambuliaji nao wapo kambini kwa maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

    Miongoni mwa wachezaji wapya waliopo kambini ni nyota  aliyetambulishwa Agosti 2 2025 Simba SC ambaye ni Mohamed Bajaber. Kiungo mshambuliaji alikuwa anacheza Polisi ya Kenya.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleLIVERPOOL, ARSENAL AU CITY? VITA YA KILELENI YACHUKUA KASI MAPEMA
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMANNE TAREHE 5-8-2025

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.