Author: Chikao

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Crecentius Magori, amesema yeye na wenzake wanakwenda kurudisha heshima ya klabu hiyo nchini na kuendelea kuwa ya kutisha…