Author: Chikao

Klabu ya Yanga imetangaza kuingia mkataba na kampuni ya BlackBird kutokea Rotterdam Uholanzi kwa ajili ya teknolojia ya Akili Mnemba ‘Artificial Intelligence’ (AI), mfumo ambao utaisaidia…

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania @taifastars_ Nassor Saadun ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Azam FC hadi mwaka 2027. Nyota huyo mwenye umri wa miaka…

Kikosi Rasmi cha Simba Sc 2025/2026 Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamekamilisha usajili wa wachezaji kutoka vilabu mbalimbali ili kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya…

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe ameahidi kuishitua Dunia Keshokutwa katika kilele cha Wiki ya Mwananchi itakayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.…

Simba itakuwa uwanjani leo Jumatano kwa mara ya kwanza tangu itoke kambini Misri, lakini baada ya mshambuliaji Jonathan Sowah, kuna staa mwingine inaweza kumkosa mbele ya…