Rais wa klabu ya Yanga Eng.Hersi Said ametangaza kuwa hataondoka ndani ya klabu ya Yanga mpaka akamilishe ahadi aliyowaahidi wanachama wa klabu hiyo ya kujenga uwanja.…
Author: Chikao
Rais wa Yanga SC Eng. Hersi Said amewataka wanachama wa klabu hiyo kulipia ada kwa kuwa gharama za uendeshaji wa klabu ni kuwa sana. Eng. Hersi…
Makamu wa Rais wa klabu ya Yanga @arafat__ahametangaza bajeti ya klabu kwa msimu wa 2025/26 kuwa ni Shilingi Bilioni 33 za Kitanzania. MAPATO • Udhamini na…
Barcelona wako tayari kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kumnunua nahodha wa Crystal Palace Marc Guehi ambaye pia anawaniwa na Liverpool pamoja na Real Madrid. Guehi mwenye umri…
PAZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora linakaribia kufunguliwa ikiwa ni siku zinahesabiki kwa kuwa Septemba 17 kazi inatarajiwa…
Mabingwa wa zamani wa dunia katika masumbwi, Mike Tyson na Floyd Mayweather, wanatarajiwa kukutana ulingoni kwa pambano la maonyesho mwaka 2026. Kampuni ya yenye kujihusisha na…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Amos Gabriel Makalla leo Ijumaa Septemba 05, 2025 ametembea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira…
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba SC aliyekiwasha msimu uliopita akiwa Yanga SC Clatous Chama anatarajiwa kufanya makubwa kwenye ligi kuu msimu ujao akiwa na…
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa kwa sasa Yanga SC hakuna suala la kupeana matumaini bali ni mwendelezo wa dozi pale ambapo…
MO Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC hivyo mipango yote itakuwa inaendelea chini ya safu mpya ya uongozi.…