Klabu ya Simba SC imesitisha mchakato wa kumpa mkataba beki wa kushoto Khadim Diaw kutoka Al Hilal na wameweka nguvu kwa Pascal Msindo wa Azam FC na Anthony wa Namungo FC
Uamuzi huo umekuja baada ya kocha Fadlu Davids kutoridhishwa na kiwango chake, na Khadim Diaw alikuwa alishakamilisha makubaliano binafsi na Simba SC
Diaw ni mchezaji wa Mamelod Sundowns ambaye alikuw anakipiga kwenye klabu ya Al Hilal kwa mkopo.