Kuelekea katika Sikukuu za mwishoni mwa mwaka, Klabu ya Simba SC imefanya punguzo la Jezi zake za msimu wa 2025-2026 kutoka Sh. Elfu 45000 hadi Sh. Elfu 12000.
Punguzo hili ni kwa jezi zote zinazotumika katika michuano ya kimataifa na jezi za zinazotumika katika michuano ya hapa nyumbani.










Leave a Reply