KITAIFA

SIMBA YAMTOA OMARY OMARY KWA MKOPO KWENDA MASHUJAA FC

Simba Sc

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumtoa kwa mkopo kiungo Omary Omary kwenda kuitumikia Mashujaa Fc kwa msimu ujao wa 2025/26.

Omary anarejea Mashujaa Fc takribani mwaka mmoja tangu ajiunge na Mnyama mnamo Juni 22, 2024.

Leave a Comment