Share WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email Klabu ya Manchester City imepoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza wakiwa nyumbani dhidi ya Tottenham Hotspur kwa magoli 2-0. Magoli ya Spurs yamefungwa na Brennan Johnson pamoja na Jao Palhina katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo