KITAIFA

UNAHITAJI SAMSUNG A25?, BASHIRI NA MERIDIANBET

Meridianbet wamekuja na fursa ya kipekee kwa wateja wake ambapo kwa shilingi 5000 pekee inampa nafasi ya kuondoka na simu janja aina ya Samsung A25, hivyo shiriki sasa uwe moja ya washindi watakaotangazwa siku maalumu.

Kushiriki promosheni hii lazima uwe umejisajili na Meridianbet na ubashiri mechi za ligi ya mpira  ambapo kwenye promosheni hii dau ambalo linatakiwa kuweka ni shilingi 5000 na kuendelea ndipo uwe moj ya watu ambao wanashindania Samsung A25.

Ofa hii imeanza tarehe 01 Juni na mwisho wake utakuwa ni tarehe 30 mwezi Juni. Hivyo changamkia fursa hii ya kipekee ambayo imekujia na wakali wa ubashiri. Mteja atabashiri mechi azipendazo yeye, hakuna njia rahisi ya kujiweka na karibu na ushindi kwani mchumia juani hulia kivulini.

Bado hujachelewa sasa una siku 24 zilizobaki za kushindania zawadi hiyo ya Simu janja na wakali wa ubashiri. Kila wiki ukiweka dau la 5000 na ukabashiri ndivyo unavyojiweka karibu kabisa na ushindi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye hizo mechi ambazo anaziweka hivyo ni rahisi sana kutusua hapa.

Bashiri na Meridianbet kuibuka bingwa kila Ijumaa wa Samsung A25. Vilevile  unaweza kupiga pesa kweye michezo ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.

Huku promosheni ikiwa inaendelea Meridianbet wametenga siku maalumu ambayo itakuwa ni Ijumaa ambapo simu 2 zitatolewa kwa washindi, hivyo huenda leo hii ndio bahati yako. Mechi nyingi za ushindi zipo kila siku hivyo kadri unavyobeti mara nyingi ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi ya kushinda simu janja.

TURBO CASH haitatumika wakati wa promosheni yaani ukibashiri mechi zake kwa dau lako ambalo umeweka kama mechi kumi inabidi usubiri mechi zote ziishe ndipo uweze kutoa pesa kama umeshinda.   

Leave a Comment