MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC raia wa Ghana, Jonathan Sowah anatarajiwa kuukosa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC utakaopigwa Septemba 16 2025, mwaka huu…
Browsing: Simba SC
Timu ya Simba SC rasmi imemtambulisha kiungoa Neo Maema akitokea katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Maema ambae anatarajiwa kuongeza nguvu katika nafasi ya…
MECHI ya Simba na Yanga inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayowakutanisha Yanga…
Simba kupoteza mchezo wa kirafiki ni faida kubwa sana kwao kwa sababu itamsaidia kocha Fadlu Davids kujua changamoto zilizosalia kwenye timu yake na kuzifanyia kazi. Pia…
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu, amesema maandalizi yote ya usajili wa wanachama yamekamilika na kwamba ndani ya miezi sita kuanzia sasa klabu hiyo…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba , Ahmed Ally, amesema wachezaji ambao itawatangaza si kama inamalizia zoezi la usajili, la hasha, bali imeshafanya hivyo…
INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids huenda akaachwa katika kikosi hicho kuelekea msimu mpya. Simba SC inatajwa…
Uongozi wa klabu ya Simba SC umetangaza rasmi kuwa Septemba 10, 2025 itakuwa siku ya kufanyika kwa Simba Day, tamasha kubwa barani Afrika linalotumika kwa ajili…
Klabu ya ENPPI ya ligi kuu Nchini Misri imetangaza kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya jana jijini Cairo, Misri.…
Mshambuliaji mpya wa Simba Jonathan Sowah jana alifungia bao timu hiyo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Carabat FC. Simba iko kambini nchini Misri kujiandaa na…