MO Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC hivyo mipango yote itakuwa inaendelea chini ya safu mpya ya uongozi.…
Browsing: Simba SC
Simba imefanikiwa kumsajili mlinzi wa kati wa JKT Tanzania na kikosi cha Taifa Stars, Wilson Nangu kwa mkataba wa miaka miwili. Nyota huyo aliyekuwa na kiwango…
KAULI ya Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids kwamba kikosi chake kinakosa mchezaji mwenye uwezo wa kipekee wa kuamua matokeo ya mechi (maarufu kama X-Factor)…
Mchambuzi wa soka @mzeewajambia ameandika ujumbe kuhusu kauli ya Kocha Mkuu wa Simba aliyoisema hivi karibuni ya kumuhitaji mchezaji mwingine kwenye eneo lake la ushambuliaji. “Juzi…
RASMI Simba SC imemtambulisha mshambuliaji mpya ambaye atakuwa katika kikosi hicho kwa msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja. Nyota huyo ambaye ni…
KIKOSI cha Simba leo Agosti 28 kinatarajiwa kuwasili nchini kikitokea Misri ambapo kiliweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza hivi karibuni 2025/2026, huku kukiwa…
WAKATI kikosi cha Simba SC kikitarajiwa kurejea Tanzania leo Agosti 28 2025 inaelezwa kuwa tayari benchi la ufundi lina jina la mrithi wa mikoba ya Mohamed…
Mshambuliaji mpya wa Timu ya Taifa Stars Suleman Mwalimu amewasili jijini Dar es salaam kukamilisha taratibu za kujiunga na klabu ya Simba kwa mkopo wa mwaka…
Siku ya Simba ni nafasi kubwa ya kuwapa heshima watu waliofanya makubwa ndani ya Simba , tunatambua , tunakumbuka na tunathamini mchango wao , mwaka huu…
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa sababu kubwa ya Simba Day kufanyika Septemba badala ya Agosti ni ratiba kubana huku wakipanga uzinduzi wa Wiki ya Simba…