HomeKITAIFAMAMBO YAANZA KUIVA, SOWAH AANZA KUTUPIA MISRI

MAMBO YAANZA KUIVA, SOWAH AANZA KUTUPIA MISRI

Mshambuliaji mpya wa Simba Jonathan Sowah jana alifungia bao timu hiyo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Carabat FC.

Simba iko kambini nchini Misri kujiandaa na msimu mpya, jana ilicheza mchezo huo wa na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Bao lingine katika mchezo huo limewekwa kimiani na kiungo mpya mshambualiaji raia wa Kenya, Mohammed Bajaber.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE