Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Norway, Erling Haaland, amekiri kuwa uamuzi wake wa kubadilisha mtindo wa nywele umemsaidia kupata faragha zaidi anapokuwa mitaani, kwani kwa sasa watu wengi hawamtambui kirahisi. Akizungumza na Sky Sports hivi karibuni huku akichek
Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe, amezungumzia kipigo cha mabao 2-1 walichopata dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC, katika Dabi ya Kariakoo iliyopigwa Jumamosi, Oktoba 10, 2026, kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kamwe amekiri kuwa Si
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amevunja ukimya na kufichua siri ya ushindi mtamu wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga katika mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo, akisisitiza kuwa siri ya mafanikio hayo haikutokana na mchezaji mmoja, bali ni kazi kubwa ya kikosi kizima. Simba iliibuka na ushindi huo wa ki
Borussia Dortmund itashuka dimbani leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, kuikabili Werder Bremen katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga utakaopigwa katika Uwanja wa Signal Iduna Park kuanzia saa 21:30 usiku. Mchezo huo ni wa raundi ya tano kwa Dortmund msimu huu na utakuwa wa kwanza kwa timu hizo k
Zimebaki siku tatu tu kabla ya kushuhudiwa kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaokutanisha watani wa jadi kati ya Simba na Yanga — mchezo unaofahamika zaidi kama Kariakoo Derby. Wakati mashabiki wakijadili mbinu za makocha na uwezo wa wachezaji, kuna siri moja kubwa ya mafanikio ya nyuma ya pazia ambayo
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa mchezo ujao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani wao wa jadi Yanga utakuwa kipimo sahihi cha utimamu na ubora wa kikosi chao kwa msimu huu. Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga SC siku ya Jumamosi, Oktoba 10, 2026, kat
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeripotiwa kuanza kuchunguza uwezekano wa mipango mbadala kwa ajili ya AFCON 2027, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu kasi ya maandalizi katika nchi mwenyeji za Tanzania, Kenya na Uganda. Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari, baadhi ya m
Klabu ya Simba Queens imejikatia tiketi ya kucheza hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii ya Wanawake 2026 baada ya kuichapa Yanga Princess kwa mabao 3-0 katika mchezo wa nusu fainali ya pili uliokuwa na ushindani wa aina yake. Ushindi huo wa kishindo unaisukuma Simba Queens kusogea hatua moja zaidi kuel
Msisimko umeingia Meridianbet baada ya Cash Storm Tournament kutoka Expanse kuanza rasmi, ikiwaleta pamoja wapenzi wa kasino kwa wiki mbili za burudani, ushindani na nafasi ya kuwania zawadi za pesa taslimu. Kuanzia Septemba 26 hadi Oktoba 8, 2026, wachezaji wanapata nafasi ya kuingia kwenye kinyang
Je unajua kuwa wikendi iliyopita kuna watu wameweza kubadili maisha yao kwa dau dogo kabisa la shilingi mia tano?. Huenda leo ikawa ni nafasi yako na wewe na unachotakiwa kufanya ni kutengeneza jamvi lako na ubeti sasa. Afrika Kusini inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na pointi 3 baada ya kuifunga Gui
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema anamfahamu vizuri mwenzake wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, kutokana na historia ya kukutana mara kadhaa katika soka la Afrika Kusini. Barker amesema uzoefu huo wa muda mrefu unaweza kufanya Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026 kuwa mche
Aliyekuwa mchezaji wa Simba SC, Yanga SC, Azam FC na Kagera Sugar, Amri Kiemba, amejiunga rasmi na Kagera Sugar kama Kocha Msaidizi wa timu hiyo. Kiemba atafanya kazi chini ya Kocha Mkuu Cedric Kaze, katika hatua mpya ya safari yake ya ukocha baada ya muda akiwa katika shughuli za uchambuzi wa soka.
Meridian Sports App ni jukwaa la kidijitali linalokuwezesha mwanamichezo kupata taarifa mbalimbali za michezo kutoka sehemu tofauti duniani kupitia simu yako. App hii inapatikana kwenye Google Play Store kwa watumiaji wa Android na App Store kwa watumiaji wa iOS, hivyo mashabiki wanaweza kuipakua na
Jina la Ibrahim Kazimoto limeanza kuingia kwa nguvu kwenye mazungumzo ya kikosi cha kwanza cha Yanga. Beki huyo aliyepandishwa kutoka timu ya vijana chini ya miaka 20 amemvutia kocha Manqoba Mngqithi, na hilo linaifanya safari yake kuwa moja ya simulizi muhimu ndani ya Jangwani wakati ushindani wa n
Mchezaji wa Simba SC, Ismail Mgunda, amesema hajuti kujiunga na klabu hiyo, akieleza kuwa amepata mbinu na uzoefu ambao hajawahi kuupata katika klabu nyingine, ikiwemo kipindi alipokuwa nchini Afrika Kusini. Mgunda amesema amefurahishwa pia na namna alivyopokelewa na mashabiki wa Simba SC, akieleza