Habari kubwa katika Magazeti ya leo Septemba 17, 2025 Habari, Karibu katika blog yako bora ya habari za michezo ya Sokaleo kwa kuianza asubuhi kwa habari,…
Author: Chikao
YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya watani zao wa jadi Simba SC katika mchezo…
SHOMARI Kapombe beki wa Simba SC amebainisha kuwa watajitoa kwa nguvu zote kuzuia makosa kwenye mchezo dhidi ya Yanga SC ili wasifungwe. Mchezo wa funga kazi…
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 16, 2025 Habari, Karibu katika blog yako bora ya habari za michezo ya Sokaleo kwa kuianza asubuhi kwa…
JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 katika mchezo wa fainali. Ofisa…
Mwanariadha Alphonce Felix Simbu ashinda mbio za riadha za dunia ambazo zinafanyika jijini Tokyo, nchini Japani na kumshinda mpinzani wake kwa tofauti ya sekunde 0.03 ambaye…
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amethibitisha kuwa siku ya kesho watawakosa wachezaji wawili katika mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Yanga wachezaji hao ni…
Staa wa muziki wa bongefleva Mbosso Khan amewashukuru mashabiki,wanachama na viongozi wa Simba kwa kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye tamasha la Simba Day huku akiweka wazi…
Kocha Mkuu wa Simba amezungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho wa dabi ya kariakoo huku akiweka wazi hawana presha ya mchezo huo ila…
Yamebaki masaa kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 ikiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii. Ikumbukwe kwamba msimu wa…