Timu ya taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ leo itamkosa Kiungo wake tegemezi Feisal Salum ‘Feitoto’ baada ya kupata kadi za njano kwenye michezo ya mwisho ya Taifa Stars kuwania kufuzu makala haya ya Kombe la mataifa Afrika AFCON 2025.
Feitoto alipata kadi za njano kwenye mechi dhidi ya Guinea na DR Congo.










Leave a Reply