Home KIMATAIFA MIKÊL OBI AUNGA MKONO OKOCHA KUWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA

MIKÊL OBI AUNGA MKONO OKOCHA KUWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA

94
0

Mchezaji wa zamani Nigeria Mikêl Obi ameunga mkono suala la nyota wa zamani wa taifa hilo Jay Jay Okocha kuhitaji kuwa Rais wa shirikisho la soka nchini humo.

Mikêl Obi “Ninajiunga na watu wa nigeria walio ughaibuni kumtawaza bwana, Austin Jãy Okōcha kama mwenyekiti mpya wa Ñff, nataka turudi nyumbani na kufanyia kazi masuala yetu ya soka kwa ujumla”

“Tutaleta wawekezaji kuwekeza katika soka letu, kuifanya iwe ya ushindani, kuweka kiwango cha ligi ya taifa, nitakuwa mtu mwenye furaha zaidi kuona bwana Jãy akifanikiwa katika safari hii”

alisema Mikel kupitia kipindi chake cha mtandaoni Obi one Jumatano tarehe 10 Septemba 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here