Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป MIKE TYSON KUZICHAPA NA FLOYD MAYWEATHER
    BOXING

    MIKE TYSON KUZICHAPA NA FLOYD MAYWEATHER

    ChikaoBy ChikaoSeptember 6, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Tyson
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mabingwa wa zamani wa dunia katika masumbwi, Mike Tyson na Floyd Mayweather, wanatarajiwa kukutana ulingoni kwa pambano la maonyesho mwaka 2026.

    Kampuni ya yenye kujihusisha na mchezo wa masumbwi, CSI Sports, imetangaza pambano hilo kati ya Tyson, ambaye atatimiza miaka 60 mwaka ujao, na Mayweather mwenye umri wa miaka 48.

    Hata hivyo mpaka sasa bado hakuna taarifa kuhusu mahali ambapo pambano hilo litafanyika wala tarehe rasmi ya tukio hilo.

    Tyson, bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani, alishindwa kwa pointi dhidi ya Jake Paul katika pambano la raundi 8 lililofanyika Novemba 2024. Floyd Mayweather alitwaa mataji ya dunia katika aina tano ya viwango vya uzito tofauti, na hakuwahi kushindwa katika mapambano yake 50.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleRC MAKALLA AKAGUA UWANJA WA AFCON ARUSHA
    Next Article MBEYA DAY NI LEO KUNOGESHWA NA MECHI KALI DHIDI YA AZAM FC

    Related Posts

    Dereva wa Anthony Joshua apandishwa kizimbani kisa ajali.

    January 3, 2026

    RAMLA, MWANAMKE WA KWANZA WA KISOMALI KUCHEZA NDONDI

    September 17, 2025

    NYEMBERE ATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA MUDA “TPBRC”

    August 15, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.