AHMED Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba SC, ameweka wazi kuwa tofauti ya pointi kwenye msimamo wa ligi inasababishwa na idadi ya…
Browsing: Simba SC
Msimu wa 2025/26 umeendelea kuwa mgumu kwa mshambuliaji wa Simba SC, Steven Mukwala, ambaye bado hajafanikiwa kufungua akaunti ya mabao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara. Mukwala…
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa unajivunia uwepo wa kiungo mshambuliaji Abraham Morice kutokana na kazi kubwa anayofanya kwenye mechi za ushindani. Nyota huyo amekuwa…
Jonathan Sowah, mshambuliaji wa Simba SC, amezua mjadala baada ya bao lake dhidi ya JKT Tanzania kutajwa kuwa lina utata, ikidaiwa huenda alikuwa ameotea wakati akifunga.…
Klabu ya JKT Tanzania iliyowakaribisha Simba SC kwa maneno makali kabla ya mchezo, ikiwemo kuahidi kuwa Wekundu wa Msimbazi “hawatatoka salama” katika Uwanja wa Meja Jenerali…
Mchezo mkali wa Ligi Kuu NBC msimu wa 2025/26 unaendelea kupamba moto, ambapo timu ya JKT Tanzania inatarajiwa kuikaribisha Simba SC katika Uwanja wa Meja Jenerali…
Klabu ya Simba itaanzia nyumbani mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro Atlético de Luanda ya Angola. Ratiba…
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa haukubaliani na vitendo vya kihuni kwenye mpira wa miguu kwa kuwa unarudisha nyuma maendeleo ya wachezaji na timu kiujumla.…
KAMPENI ya Simba SC ambayo ina lengo la kutokomeza jezi feki inaendelea ambapo Wananchi wamezidi kupewa elimu kuhusu faida za kununua jezi Original. Ahmed Ally, Meneja…
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola…