Ruka hadi maudhui
SOKALEO

MIGUEL GAMONDI AANZA KAZI RASMI SINGIDA BLACK STARS

Chikao
MIGUEL GAMONDI AANZA KAZI RASMI SINGIDA BLACK STARS

Kocha Mkuu wa @singidablackstars ameanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu mpya wa mashindano wa mwaka 2025/26.

Gamondi ambaye aliwahi kuwa kocha mkuu wa Yanga ameanza majukumu hayo leo akiwa na msaidizi wake Moussa N’Daw.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13