Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » CARABAO CUP: EVERTON, FULHAM, BRIGHTON NA MAN UNITED KAZINI LEO USIKU!
    KITAIFA

    CARABAO CUP: EVERTON, FULHAM, BRIGHTON NA MAN UNITED KAZINI LEO USIKU!

    ChikaoBy ChikaoAugust 27, 202503 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Je unajua kuwa leo hii ni nafasi nzuri ya wewe kuondoka na mapene?. Man U, Fenerbahce, Brighton na wengine kibao wapo kwaaajili ya kuhakikisha unakuwa tajiri. Ni Meridianbet pekee unaweza ondoka na mkwanja.

    Mechi za kufuzu Uefa leo Club  Brugge atakiwasha dhidi ya Glasgow Rangers ambapo kwenye mechi ya kwanza walipokutana mwenyeji aliondoka na ushindi mnono, hivyo leo hii mgeni anataka kufanya Comeback kwani mlima ni 3-1. Je leo hii nani ataondoka na ushindi mkali? Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.60 kwa 5.00.

    Mourinho na vijana wake Fenerbahce Instanbul watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya SL Benfica ambao ndio wanapewa nafasi ya kushinda mechi hii ya leo. Ikumbukwe kuwa mtanange wa kwanza kukutana, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 1.62 kwa 5.20.

    Mpunga mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

    Nyasi zitawaka moto mechi ya FC Copenhagen vs FC Basel 1893 ambapo mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare ya kufungana bao 1-1. Kila timu inahitaji ushindi mkubwa siku ya leo. 1.68 kwa 4.80 ndio ODDS za ushindi za hawa wawili. Beti yako unaiweka wapi?. Suka jamvi hapa.

    Qarabag FK atamenyana dhidi ya Ferencvarosi Budapest ya Hungary huku mwenyeji yeye akiwa anakipiga kule Azerbaijan. Nafasi ya kushinda siku ya leo amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.30 kwa 3.00. Wewe unampa nani leo?

    Mechi za Carabao leo hii Everton atamleta kwake Mansfield Town ambao wanakipiga League One kule Uingereza. Everton wao wapo EPL huku wakiwa wameshinda mechi moja na kupoteza moja. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.23 kwa 12, lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii. Bashiri hapa.

    Nao Fulham baada ya kutoa sare mechi yao ya ligi iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kusaka nafasi ya kwenda mbele dhidi ya Bristol City ambao wao wanacheza ligi daraja la kwanza pale Uingereza, yaani Championship. Timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni msimu wa 2022 ambapo mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii kwa ODDS ya 1.45 kwa 7.00 nani kuondoka na pointi 3?. Suka jamvi hapa.

    Wakati huo huo Brighton & Hove Albion watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Oxford United ambao hawapewi nafasi kubwa ya ushindi siku ya leo wakiwa na ODDS 8.00 kwa 1.35. Meridianbet wanakwambia kuwa kupitia mechi hii unaweza ukabadilisha maisha yako sasa. Unangoja nini?. Bashiri na mabingwa hapa.

    Ruben Amorim na timu yake  Manchester United wao watakuwa wageni wa Grimsby Town ambao wapo League Two kule Uingereza, wakati United wao wakiwa wameanza ligi vibaya kwenye mechi mbili wakiwa na pointi moja pekee. Meridianbet wanawapa Mashetani Wekundu nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.14 kwa 18.00. Wewe beti yako unaiweka kwa nani leo?. Jisajili hapa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKIBABAGE KUIBUKIA RASMI SINGIDA BLACK STARS
    Next Article Ole ndiyo mshambuliaji bora wa Fergie

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.