Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป SIMBA KUCHEZA NA TIMU YA BAJABER SIKU YA SIMBA DAY
    KITAIFA

    SIMBA KUCHEZA NA TIMU YA BAJABER SIKU YA SIMBA DAY

    ChikaoBy ChikaoAugust 28, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Ripoti kutoka nchini Kenya zimesema kuwa Kenya Police FC wamealikwa kumenyana na wababe wa Tanzania, Simba SC katika mchezo wa kirafiki siku ya Simba Day, utakaofanyika Septemba 10, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

    Kenya Police FC ni mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya kwa msimu wa 2024/25, ndiyo timu aliyotoka nyota mpya wa Simba Mohammed Bajaber.

    Klabu hiyo bado haijathibitisha kushiriki, lakini tayari watakuwa nchini Tanzania kwa ajili ya michuano ya CECAFA Kagame Cup 2025, itakayoanza Septemba 2 hadi 15 jijini Dar.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHUYU HAPA MCHEZAJI ANAEKIPIGA AKIWA NA MIAKA 47
    Next Article Tatizo la Man U lipo kwa klabu sio wachezaji – Ruud Gullit

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.