Wote tunajua inapofika hatua ya mikwaju ya penati, ustadi wa golikipa ndio huamua mshindi wa mchezo. Jambo hilo ndilo lililodhihirika juzi kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii nchini Uingereza ambapo akili na ustadi wa golikipa wa Crystal Palace Dean Henderson uliweza kuizawadia taji la Ngao ya Jamii Shie
Manchester United na Chelsea wapo kwenye mazungumzo ya kuuziana mchezaji Mu-Argentina Alejandro Garnacho. United inamthaminisha Alejandro mwenye umri wa miaka 21 kwa Pauni milioni 50, ingawa Chelsea wanaamini wanaweza kujadiliana na kumpata kwa bei ya chini zaidi. Garnacho ameambiwa atafute klabu mp
Baada ya Manchester United kutoa ofa ya kumhitaji kiungo Carlos Baleba, klabu yake yake Brighton imeweka dau la pauni milioni 100 (zaidi ya Tsh Bilioni 320) kwa kiungo huyo lakini United wanahisi kwamba dili hilo linapaswa kukaribia pauni milioni 70 (zaidi ya Tsh Bilioni 230). Baleba anaripotiwa kuw
Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe amesisitiza kwamba ana njaa ya kupata mafanikio makubwa msimu huu. Mbappe ameyasema hayo kupitia chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alisema: “Msimu mpya. Nina njaa ya kufanya jambo kubwa, Twende sote pamoja
Je safari hii nani anaweza kuongoza ligi, ambapo wakali wa ubashiri wameweka ODDS kubwa sana. Nani atapokea kijiti cha Liverpool ambao msimu uliopita ndio waliongoza ligi wakiwa na pointi zao 39? Liverpool kuongoza ligi amepewa ODDS 3.00. Ikumbukwe kuwa Jogoo wa Anfield hadi sasa amefanya usajili wa
Mshambuliaji wa klabu ya Pyramids ya Misri Fiston Kalala Mayele jana ametwaa tuzo ya mshambuliaji bora wa Ligi kuu soka ya Misri. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Congo DR ametwaa tuzo hiyo baada ya kucheza michezo 23 na kufunga magoli 8 huku akipika magoli mawili. Kwenye msimu huo pia Mayele alifunga
Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limetangaza rasmi kuingia makubaliano ya udhamini wa miaka minne na mabingwa wa Hispania FC Barcelona wenye thamani ya Bilioni 134 kwa ajili ya kuvutia utalii na kuhamasisha uwekezaji kutoka nje ya Taifa lao. Kutokana na mkataba huo wachezaji wa Barcel
Lamine Yamal pichani na Wazazi wake wote wawili ambao wametengana huku Mama yake akiwa ameolewa tayari, lakini kwasasa wanakutanishwa zaidi na Mtoto wao katika shughuli mbalimbali ikiwemo za maisha yake ya mpira, wawili hao pia walisafiri pamoja na Mtoto wao kwenye Ndege ya kukodi kuelekea nchini Ch
Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja pekee. Kupitia taarifa rasmi ya klabu hiyo, AS FAR imeuthibitisha kuachana na beki huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa heshima na shukrani kwa
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria inatarajia kushuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake WAFCON katika dimba la Olympic Stadium Rabat Nchini Morocco. Morocco ilifanikiwa kufika kufika hatua hiyo baada ya kuib
Gwiji wa mchezo wa mieleka Duniani raia wa Marekani Terry Gene Bollea maarufu Hulk Hogan amefariki dunia siku ya leo kiwa nyumbani kwake Florida Nchini Marekani baada ya kupata mshuituko wa moyo. Shirika kubwa la Mieleka Duniani WWE limethibitisha taarifa ya kifo cha mkongwe huyo mwenye umri wa miak
Rashford Kuvaa Jezi Namba 14 Barcelona Marcus Rashford rasmi atangazwa kuwa mchezaji wa Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Manchester United. Nyota huyo wa timu ya taifa ya England amepewa jezi namba 14, namba yenye uzito mkubwa katika historia ya klabu hiyo, ikiwa ni kumbukumbu
Mchezaji wa Real Madrid, Jude Bellingham kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha akiwa kweye kitanda cha Hospitali ikiwa ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa jeraha la bega ambalo litamuweka nje mpaka mwezi October. Kwenye chapisho lake amewashukuru manesi na madaktari walioshiriki kufanikisha
Mabingwa wa Ligi Kuu Uganda, Vipers Sc wamethibitisha kumsajili winga, Mnigeria Odili Chukwuma kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mwisho wa msimu wa 2026/27. Chukwuma (23) raia wa Nigeria anajiunga na Mabingwa hao mara 7 wa Ligi Kuu Uganda kutoka klabu ya Police Fc ya Rwanda. Ms
Mashabiki wa Sporting CP wametoa jumbe za majibu yao kwa mshambuliaji wa kimataifa Viktor Gyokeres huku nyota huyo wa Sweden akikaribia kuhamia Arsenal kwa pauni milioni 62.4. Gyokeres amedhamiria kuhama Ligi Kuu msimu huu, huku kikosi cha Mikel Arteta kikiwa ndicho anachopendelea zaidi. Mazungumzo