Share WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email Percy Muzi Tau amefikia makubaliano kuvunja mkataba wake na Qatar SC baada ya miezi Sita tu klabuni hapo… Tau sasa ni mchezaji huru sokoni anaweza kujiunga na klabu yoyote itayofikia makubaliano nae.