JIUNGE KWENYE WHATSAPP CHANNEL YA SIMULIZI ZA SAUTI ZA WAKUBWA TU BONYEZA HAPA KUJIUNGA
Alonso aliyekuwa mchezaji na mshindi wa taji la Ligi ya Mabingwa akiwa na Real Madrid anaenda kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wake akiwa Madrid Carlo Ancelotti aliyeaga jana.
Alonso atahudumu Bernabeu hadi Mwaka 2028.