Ruka hadi maudhui
SOKALEO

BAADA YA KUTOKA MAN U ‘TEN HAG’ ATAMBULISHWA LEVERKUSEN

Chikao
BAADA YA KUTOKA MAN U ‘TEN HAG’ ATAMBULISHWA LEVERKUSEN

Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesaini rasmi leo kuwa kocha mpya wa Bayer Leverkusen.

Klabu ya Bayer Leverkusen imethibitisha kuwa Ten Hag amerithi rasmi mikoba ya aliyekuwa kocha wao Xabi Alonso, Huku Ten Hag amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027.

Xabi ametimkia Real Madrid ambayo imemtambulisha rasmi jana.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland