Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » RASMI AZIZ KI AMEANZA KAZI NA TIMU YAKE MPYA YA WYDAD
    KIMATAIFA

    RASMI AZIZ KI AMEANZA KAZI NA TIMU YAKE MPYA YA WYDAD

    ChikaoBy ChikaoMay 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    aziz wydad
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    KIUNGO mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Wydad Casablanca, Aziz Ki tayari ameanza mazoezi na timu hiyo mara baada ya kumtambulisha.

    Ikumbukwe kwamba Ki aliibuka ndani ya timu hiyo akitokea kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi.

    Mchezo wa mwisho akiwa na uzi wa Yanga SC ilikuwa dhidi ya JKT Tanzania ambao ulikuwa ni CRDB Federation Cup hatua ya nusu fainali.

    Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga baada ya dakika 90 ubao ukasoma Yanga SC 2-0 JKT Tanzania.

    Mei 25 alitambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Wydad Casablanca kiungo huyo mshambuliaji ambaye alikuwa anavaa jezi namba 10 ndani ya kikosi cha Yanga SC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba 11 kwa ubora Afrika.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleXABI ALONSO RASMI ATAMBULISHWA KUWA KOCHA MKUU WA REAL MADRID
    Next Article BAADA YA KUTOKA MAN U ‘TEN HAG’ ATAMBULISHWA LEVERKUSEN

    Related Posts

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    March 24, 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    March 20, 2026

    RICHARLISON SHUJAA WA TOTTENHAM VS LIVERPOOL, WAIPINGIZA MAKALI

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.