Author: Chikao

Mchezo wa Madagascar na Afrika ya Kati umemalizika kwa Madagascar kushinda 2-0. Masikitiko makubwa ni namna mashabiki wa soka Tanzania hususani Dar es Salaam walivyojikausha kujitokeza…

Everton wametangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Jack Grealish kwa mkopo kutoka Manchester City. Mwingereza huyo mwenye umri wa miaka 29 ataitumikia The Toffees msimu mzima…