Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Ufaransa wakati klabu yake ya Le Havre…
Author: Chikao
“Tulipokea ofa nyingi sana za hapa Afrika kusini kutoka kwa vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates na vingine vingi lakini vya nje ya Afrika kusini vikihitaji huduma…
Anayetaka kuliona pambano langu dhidi ya bondia wa ndani anifuate mimi tuzungumze na asipite kwa mtu mwingine yeyote. Niko tayari kucheza lakini lazima ninachotaka kulipwa nilipwe…
Wajumbe wa mkutano mkuu TFF wamemthibitisha Wallace Karia kwa kumpigia kura za ndio kwa asilimia 100 kuwa Rais wa soka Nchini kwa miaka mingine minne. Karia…
VINARA wa kundi B Tanzania kesho watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Afrika ya Kati mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Stars ina…
Leo Alhamisi, kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu mpya kwa mtindo wa kipekee –…
Winga wa Manchester United, Jadon Sancho, yuko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na AS Roma kwa mkopo wa mwaka mmoja.Kwa mujibu wa taarifa, thamani ya…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa #AzamTV, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), baada…
Brighton inahitaji Pauni 100 milioni ili kumuuza kiungo wao wa kati Carlos Baleba, 21, baada ya Manchester United kuonyesha nia ya kumsajili. Baleba, aliyesajiliwa kutoka Lille…