Manchester United wanapanga mpango wa pauni milioni 50 kumnunua kiungo wa kati wa Sporting na Denmark Morten Hjulmand, 26, iwapo watamkosa mchezaji wa kimataifa wa Cameroon…
Author: Chikao
Wachezaji wa klabu ya Chelsea wameamua kutoa sehemu ya bonasi zao za ushindi wa Kombe la Dunia ngazi ya Klabu kwa familia za wachezaji Diogo Jota…
Timu ya Mamelodi Sundowns imemuaga rasmi mchezaji wao, Neo Maema aliyetumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka 4. Kwa sasa, Maema yupo kambini na timu ya…
Mchezaji maarufu wa kimataifa, Paul Pogba, amefanya mazoezi yake ya kwanza rasmi na wenzake wa klabu ya AS Monaco, kufuatia kujiunga kwake na klabu hiyo kutoka…
MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani unatajwa kuwa tishio kutokana…
Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na GSM Foundation inayosimamiwa na mdhamini wa…
Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi mchezaji Naby Camara raia Guinea kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Al Waab ya Qatar aliyojiunga nayo akitokea…
Ukiwa muwekezaji mzuri wa kubashiri michezo, basi unatambua kwamba kila nafasi ya kuongeza ushindi unayoipata ni kama dhahabu. Meridianbet, kwa kulitambua hilo inawapa wateja wake fursa…
Manchester City wanafikiria namna ya kuuteka nyara uhamisho wa Chelsea wa kumnunua winga wa RB Leipzig wa Uholanzi Xavi Simons, 22. (Sport) Brighton watahitaji zaidi ya…
Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC, Hasheem Ibwe, amesema moja ya uwekezaji mkubwa wa maana ilioufanya msimu huu ni kumpata, Florent Ibenge, ambaye wana matumaini…