SIMBA SC bado ipo sokoni kusaka wachezaji wapya kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha Simba SC kwa sasa kipo Misri…
Author: Chikao
….. OFA IMEKATALIWA. Jana tulilala na neno hili. Barua za Waarabu zimeendelea kupishana pale Jangwani. Inaingia barua hii, baada ya muda inaingia barua nyingine. Zote zinazungumzia…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema kuwa wamefanya maboresho makubwa kwenye kikosi kwa kupata saini za wachezaji ambao watakuwa na kazi kupambana kwenye mashindano…
Mshambuliaji na nyota wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo amemrushia maua yake mchezaji mpya wa Arsenal, Viktor Gyokeres akimuita mwanasoka ‘Special’. Gyokeres alihamia Arsenal akitokea Sporting ambapo alifunga…
Washindi wa pili wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Simba SC wamepangwa kucheza dhidi ya timu ya Gaborone United Botswana. Simba SC wamepangwa…
Mabingwa wa soka la Tanzania, Yanga SC wamepangiwa timu ya Wiliete Benguela ya nchini Angola. Ratiba hiyo ya CAF imetoka leo na Yanga SC wameangukia kwa…
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam FC Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amethibitisha ujio wa kiungo wa zamani wa Simba SC, Sadio Kanoute ambaye…
KLABU ya Azam FC ya Tanzania imepangwa kucheza na El Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini kwenye hatua za awali michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. KMKM…
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC Yanga SC wanatarajiwa kuelekea Rwanda. Timu hiyo inaenda Rwanda kwa mualiko maalum kwa ajili ya mchezo wa kimataifa…