Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ametuma salama za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),…
Author: Chikao
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),…
Mdau maarufu wa mchezo wa mpira wa miguu Nchini Haji Manara amewajibu waandishi wa habari wa Kenya waliosema Taifa Stars wameumaliza mwendo kwenye mashindano ya CHAN…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba , Ahmed Ally, amesema wachezaji ambao itawatangaza si kama inamalizia zoezi la usajili, la hasha, bali imeshafanya hivyo…
Nyota wa Brazil na klabu ya Santos Neymar Jr usiku wa kuamkia leo alitoka uwanjani akimwaga machozi baada ya kukumbana na kipigo kikubwa zaidi kwenye maisha…
Baada ya mchezo na Uganda, nahodha wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Neo Maema hakuwa na maneno mengi ya kuongea mbele ya waandishi wa habari…
AZAM FC wakiwa nchini Rwanda ambapo wameweka kambi wanatarajiwa kushiriki michuano ya Inkera Y’abahizi baada ya kualikwa na wenyeji wao APR FC na leo Agosti 19…
INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids huenda akaachwa katika kikosi hicho kuelekea msimu mpya. Simba SC inatajwa…
Uongozi wa klabu ya Simba SC umetangaza rasmi kuwa Septemba 10, 2025 itakuwa siku ya kufanyika kwa Simba Day, tamasha kubwa barani Afrika linalotumika kwa ajili…