PITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 22 AGOSTI 2025
Author: Chikao
Timu ya Simba SC rasmi imemtambulisha kiungoa Neo Maema akitokea katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Maema ambae anatarajiwa kuongeza nguvu katika nafasi ya…
YANGA SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika wakiwa na mataji 31 kabatini wametambulisha nyota watatu ndani ya Agosti…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameikabidhi timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kiasi cha Milioni 200 za Kitanzania, wakati timu hiyo ikijiandaa…
José Mourinho amefichua kwamba Lionel Messi alimfanya kuwa kocha bora, akikiri kwamba kukabiliana na Muargentina huyo mara kwa mara kulimsukuma kutafakari upya mbinu zake na kufikia…
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limetangaza kuwa mashabiki wanaokaa eneo la mzunguko siku ya kesho wafike kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa na watapewa tiketi…
Dahame Beida refa wa kimataifa mwenye Beji ya FIFA toka nchini Mauritania ameteuliwa kuwa Refa wa VAR katika mchezo wa kesho wa dhidi ya Morocco katika…
Kikosi cha wachezaji pamoja na viongozi wa timu ya Taifa ya soka ya Morocco, inayofahamika kama ‘Simba wa Milima ya Atlas’, kimewasili Dar es Salaam kwa…
PITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 21 AGOSTI 2025
Klabu ya Manchester United imeripotiwa kumtazama kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga kuwa mbadala kama watamkosa Carlos Baleba wa Brighton wanayemtazama zaidi kama chaguo la kwanza.…