Ripoti kutoka nchini Kenya zinadai kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini humo wameanza zoezi la ununuzi wa tiketi za mchezo wa Tanzania dhidi ya Kenya.…
Author: Chikao
Alexander Isak amevunja ukimya wake kuhusu mgomo wake wa Newcastle United kwa kauli mbaya ambapo anasema imani imepotea baada ya ahadi kuvunjwa. Jana alitoa taarifa ambayo…
WAKATI Tanzania Agosti 16 2025 kwenye mchezo wa CHAN 2024 ikishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Afrika ya Kati 0-0 Tanzania, kiungo Feisal Salum amebainisha…
UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na…
MECHI ya Simba na Yanga inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayowakutanisha Yanga…
Simba kupoteza mchezo wa kirafiki ni faida kubwa sana kwao kwa sababu itamsaidia kocha Fadlu Davids kujua changamoto zilizosalia kwenye timu yake na kuzifanyia kazi. Pia…
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu, amesema maandalizi yote ya usajili wa wanachama yamekamilika na kwamba ndani ya miezi sita kuanzia sasa klabu hiyo…
MASTAA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Romain Folz Agosti 19 2025 walikuwa kwenye mazoezi maalumu katika fukwe za Coco Beach Dar kwa lengo…
“Nimeona andiko la kaka yangu Jemedari Said kuzihusu Simba SC na Azam FC kutokutoa matokeo yao ya mechi zao za kirafiki walizocheza. Azam FC walifungwa 2-1…