Author: Chikao

MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Clement Mzize kuna uwezekano mkubwa akabaki ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2025/26 na atakuwa anakunja mshahara mrefu kwa mwezi. Taarifa…

Klabu ya Bandari ya Kenya imeripotiwa kuwa wageni wa Mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga kwenye kilele cha WIKI YA MWANANCHI sherehe zitakazofanyika Septemba 12, 2025,…