Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro، Nurdin Babu (Kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa Kanali Geoffrey Mvula (kushoto) Mwenyekiti wa timu za JKT katika hafla ya kuiga timu…
Author: Chikao
MSIMU mpya wa Kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam,…
AC Milan wamemsajili Christopher Nkunku kutoka Chelsea kwa mkataba ambao unaweza kufikia pauni milioni 36. Nkunku mwenye umri wa miaka 27 ametia saini mkataba wa miaka…
Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 46.…
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema hajui nini kitatokea kwenye ajira yake wakati wa mapumziko ya kimataifa. Akijibu maswali ya wanahabari jana Ijumaa, kama alikuwa…
MASHINE za kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26 zimewasili ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz. Yanga SC ipo…
Klabu Fenerbahce wameamua kumfuta kazi kocha wao Jose Mourinho. Klabu hiyo ya Uturuki imeamua kuachana na Mourinho ikiwa ni siku mbili baada ya klabu hiyo kuondolewa…
Bodi ya Ligi kuu Tanzana (TPLB) imetangangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2025/2026 inayotarajiwa kuanza Septemba 17 2025 na kumalizika May…
INATAJWA kuwa Simba SC imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya JKT Tanzania, Wilson Nangu kwa mkataba…