Home KITAIFA YANGA YAPANGIWA NA WA ANGOLA CAF

YANGA YAPANGIWA NA WA ANGOLA CAF

359
0

Mabingwa wa soka la Tanzania, Yanga SC wamepangiwa timu ya Wiliete Benguela ya nchini Angola.

Ratiba hiyo ya CAF imetoka leo na Yanga SC wameangukia kwa vigogo hao wa soka la nchini Angola.

Advertisement

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here