Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Mikoa Yote Matokeo Ya Darasa La Saba 2025/2026 – NECTA Standard Seven Results (PSLE)
    FORUM

    Mikoa Yote Matokeo Ya Darasa La Saba 2025/2026 – NECTA Standard Seven Results (PSLE)

    ChikaoBy ChikaoNovember 6, 202503 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mikoa Yote Matokeo Ya Darasa La Saba 2025/2026
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 21 ya mwaka 1973 kwa lengo la kusimamia na kuratibu Mitihani ya Kitaifa nchini Tanzania. Kabla ya kuanzishwa kwake, mitihani yote ya kitaifa ilikuwa ikishughulikiwa na Kitengo cha Mitaala na Mitihani kilichokuwa chini ya Wizara ya Elimu.

    Hatua ya kuanzisha NECTA ilikuja baada ya Tanzania Bara kujitoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki (EAEC) mwaka 1971, ambapo Zanzibar yenyewe ilijitoa mwaka 1970. Hivyo, NECTA ilipewa jukumu kamili la kusimamia mitihani, huku masuala ya mitaala yakiendelea kusimamiwa na Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi kuanzishwa kwa Taasisi ya Ukuzaji Mitihani mwaka 1975, ambayo baadaye ilibadilishwa jina na kuwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) mwaka 1993.

    NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2025 (PSLE Results 2025/2026)

    Matokeo ya darasa la saba hutolewa na NECTA kila mwaka baada ya kumalizika kwa Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Msingi (PSLE). Matokeo haya hutumika kuwapanga wanafunzi kuingia Kidato cha Kwanza katika shule mbalimbali za sekondari nchini.

    Masomo Yanayofanyiwa Mtihani wa PSLE

    Wanafunzi wa darasa la saba hutahiniwa katika masomo yafuatayo:

    1. Kiswahili

    2. English Language

    3. Hisabati (Mathematics)

    4. Sayansi na Teknolojia (Science and Technology)

    5. Maarifa ya Jamii na Stadi za Kazi (Social Studies & Vocational Skills)

    6. Uraia na Maadili (Civic and Moral Education)

    Miundo ya Mitihani (Exam Format)

    Kila somo lina mwongozo maalumu unaoeleza:

    • Namna maswali yanavyopangwa

    • Maudhui yanayopimwa

    • Idadi ya maswali

    • Muda wa kufanya mtihani

    Miundo hii hupatikana kupitia jukwaa la NECTA, kwa wale wanaotaka kujiandaa au kufundisha kwa ufanisi zaidi.

    Tazama Mikoa Yote Matokeo Ya Darasa La Saba

    ARUSHA

    DAR ES SALAAM

    DODOMA

    IRINGA

    KAGERA

    KIGOMA

    KILIMANJARO

    LINDI

    MARA

    MBEYA

    MOROGORO

    MTWARA

    MWANZA

    PWANI

    RUKWA

    RUVUMA

    SHINYANGA

    SINGIDA

    TABORA

    TANGA

    MANYARA

    GEITA

    KATAVI

    NJOMBE

    SIMIYU

    SONGWE

    Tazama Hapa https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/psle/psle.htm

    Historia Fupi ya Mitihani Kabla ya NECTA

    Kabla ya mwaka 1973, mitihani ya kitaifa ilikuwa inaratibiwa kwa ushirikiano na mashirika ya mitihani ya Afrika Mashariki na hata Cambridge Local Examinations Syndicate.
    Kwa mara ya kwanza, Mitihani ya Cheti cha Shule ilifanywa na wanafunzi wa Kiafrika mwaka 1947, na Mitihani ya Cheti cha Shule ya Juu ilianza 1960.

    Hitimisho

    NECTA ina jukumu kubwa la kudumisha viwango na ubora wa mitihani nchini Tanzania. Matokeo ya Darasa la Saba 2025/2026 yakitangazwa, wanafunzi na wazazi wataweza kuyapata kwa urahisi kupitia tovuti rasmi ya NECTA au kupitia PDF kwa kila mkoa.

    NECTA Mawasiliano

    The Executive Secretary,
    The National Examinations Council of Tanzania
    P.O. Box 2624 or 32019
    Dar es Salaam

    P.O. Box 428
    Dodoma

    P.O. Box 917
    Zanzibar

    Phone: +255-22-2700493 – 6/9
    Fax: +255-22-2775966
    Email: esnecta@necta.go.tz

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCLEMENT MZIZE KUKOSEKANA KWA MIEZI MIWILI YANGA SC
    Next Article VITA YA KUSAKA POINT TATU MECHI YA SIMBA VS JKT TANZANIA NI BALAA

    Related Posts

    Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2026 Jeshi la Ulinzi la Wananchi

    January 11, 2026

    Matokeo ya Form Two 2025/2026 (Matokeo Kidato Cha Pili) NECTA Form Two Results

    December 22, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.