Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2026 Jeshi la Ulinzi la Wananchi
    FORUM

    Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2026 Jeshi la Ulinzi la Wananchi

    ChikaoBy ChikaoJanuary 11, 202603 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2026 Jeshi la Ulinzi la Wananchi
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2026/2027 Jeshi la Ulinzi la Wananchi, www.jwtz.go.tz 2026 News,  Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni taasisi ya kijeshi inayowajibika na ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na usalama wa taifa kwa ujumla.

    Kila mwaka, JWTZ hufanya mchakato wa kuandikisha vijana waliomaliza elimu ya sekondari, vyuo na wale waliopitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili kujiunga rasmi na utumishi wa kijeshi.

    Mwaka 2025, JWTZ kwa kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wametoa tangazo la majina ya vijana waliopitishwa kujiunga na Jeshi hilo baada ya kufuzu taratibu na sifa stahiki.

    Sifa za Kujiunga na JWTZ

    Kwa mujibu wa maelezo rasmi ya JWTZ kupitia tovuti yao, mtu anayetaka kujiunga na jeshi anapaswa kuwa na:

    1. Raia wa Tanzania mwenye uzalendo na maadili mema.
    2. Umri kati ya miaka 18 hadi 26.
    3. Elimu ya angalau kidato cha nne (CSE) au zaidi.
    4. Afya njema kimwili na kiakili (upimaji hufanyika kabla ya kupokelewa).
    5. Kupitia mafunzo ya JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) ni kigezo kinachopewa kipaumbele.
    6. Asiwe na rekodi ya makosa ya jinai.

    Majina ya Waliochaguliwa JWTZ 2025

    Kwa sasa, orodha kamili ya waliochaguliwa kujiunga na JWTZ kwa mwaka 2026 bado haijatangazwa rasmi kwenye tovuti ya JWTZ (www.tpdf.mil.tz), lakini kuna uwezekano mkubwa tangazo hilo litafuata baada ya uteuzi wa vijana waliomaliza JKT kuhitimishwa.

    Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mwaka 2025, tayari baadhi yao wamechaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Majina hayo yanapatikana kupitia:

    Mwananchi Digital – Majina ya JKT 2025

    Kwa kawaida, baada ya kuhitimu mafunzo ya JKT, wachache huchaguliwa kuendelea mbele na mafunzo ya kijeshi rasmi ya JWTZ.

    Hatua za Kufuatilia Majina

    1. Tembelea tovuti rasmi ya JWTZ:
      https://www.tpdf.mil.tz
    2. Nenda kwenye sehemu ya “News” au “Announcements.”
      Mara nyingi tangazo la majina huwekwa kwenye sehemu hii.
    3. Tazama pia kurasa za mitandao ya kijamii ya JWTZ kama Facebook au Twitter kwa taarifa mpya.
    4. Fuatilia magazeti ya serikali kama Daily News au Habari Leo ambayo hutangaza pia majina hayo.

    Wasiliana na JWTZ kwa Maelezo Zaidi

    Kwa yeyote anayetaka kufahamu kuhusu utaratibu wa kujiunga, anashauriwa kuwasiliana kupitia:

    • Simu: +255 737 962 064
    • Barua pepe: ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

    Kwa vijana wenye ndoto ya kulitumikia taifa kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, ni muhimu kufuatilia kwa ukaribu tangazo la majina ya waliochaguliwa 2026.

    Maandalizi ya awali ikiwa ni pamoja na kujiunga na JKT, kuwa na afya njema, nidhamu na elimu, huchangia kwa kiasi kikubwa nafasi ya kuchaguliwa.

    Kumbuka: Tangazo rasmi litapakiwa kwenye tovuti ya www.tpdf.mil.tz, hivyo hakikisha unatembelea mara kwa mara au ujiunge na chaneli au magroup ya taarifa mtandaoni kwa ajili ya kufahamu taarifa hizi mapema.

    https://www.tpdf.mil.tz/

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleAZAM YAMLETA HAALAND BONGO, ANA BALAA HATARI
    Next Article YANGA YAZIKATAA OFA NONO ZA KUMUUZA DIARRA KWA TIMU HIZI

    Related Posts

    Matokeo ya Form Two 2025/2026 (Matokeo Kidato Cha Pili) NECTA Form Two Results

    December 22, 2025

    Mikoa Yote Matokeo Ya Darasa La Saba 2025/2026 – NECTA Standard Seven Results (PSLE)

    November 6, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.