Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป BARCELONA KUMNUNUA KANE KWA EURO MILIONI 50
    KITAIFA

    BARCELONA KUMNUNUA KANE KWA EURO MILIONI 50

    ChikaoBy ChikaoSeptember 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    kane
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Barcelona inataka huduma ya nahodha wa Uingereza Harry Kane, 32, ambaye ameifungia Bayern Munich mara 95 katika mechi 102 za ligi. Kane anaonekana kama mbadala wa mshambuliaji Robert Lewandowski.

    Vyanzo vya habari nchini Uhispania vinadokeza kuwa Bayern wanaweza kuwa tayari kumuuza Kane kwa kitita cha Euro milioni 40 mpaka 50.

    Ikumbukwe mkataba wa Kane na Bayern utatamatika 2027, lakini thamani yake pia itaweza kushuka wakati huo kutokana na umri wake.

    Barcelona Bayern Munich
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKOCHA MAN U ASEMA HATA PAPA HAWEZI MFANYA ABADILI MFUMO
    Next Article MAJIBU KUHUSU USHINDI WA SIMBA UGENINI KUWA NI BAHATI

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.