Klabu ya PSG imethibitisha kuwakosa wachezaji wake wanne kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona siku ya kesho ambao ni Khvicha Kvaratskhelia, Désiré Doué, Marquinhos na Ousmane Dembélé . Kvaratskhelia alipata jeraha la paja kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Auxerre hivyo ataukosa mc
Klabu ya Barcelona inataka huduma ya nahodha wa Uingereza Harry Kane, 32, ambaye ameifungia Bayern Munich mara 95 katika mechi 102 za ligi. Kane anaonekana kama mbadala wa mshambuliaji Robert Lewandowski. Vyanzo vya habari nchini Uhispania vinadokeza kuwa Bayern wanaweza kuwa tayari kumuuza Kane kwa